Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, August 12, 2010

WAANDISHI WA HABARI COPARATION WARUDISHWA WALIPOTOKA BAADA YA KUPANDA GARI LA ABIRIAMpiga picha Michael Machellah (katikati) akimfafanulia jambo askari wa usalama barabarani baada ya kulikamata gari lililokuwa limekodishwa kubeba waandishi wa habari wa Kampuni ya New Habari kuelekea mjini. Askari huyo alikamata gari hilo na kumuamuru dereva kugeuza gari na kurudi alikotoka kwa kile alichodai hakupewa taarifa ya gari hilo kukodishwa na kupita njia hiyo, jambo ambalo lilisababisha msongamano wa magari mahala hapo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...