Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 8, 2010

KLABU SIMBA YAONESHA JEZI ZAKE


Mashabiki mbalimbali wa timu ya simba wakiwa uwanja wa uhuru katika tamasha la Simba Day jioni hii.

Naibu Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo wa serikali hio Juma Ally Shamhuna katikati Mwenyekiti wa klanu ya Simba Aden Rage kulia na Meneja wa bia ya Kilimanjaro George Kavishe wakizindua rasmi jezi za timu ya Somba zitakazotumika nyumbani na Ugenini katika tamasha la Simba Day linaloendelea kwenye uwanja wa Uhuru PICHA NA http://fullshangwe.blogspot.com/
Twanga pepeta wakifanya vitu vyao mbele ya mashabiki wa simba jukwaa la kijani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...