Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, August 17, 2010

WAREMBO WANAOWANIA TAJI LA MISS TANZANIA WAPEWA SOMO


Baadhi ya Warembo wanaoshirikia katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakimsikiliza Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania DK.Ramesh Shah hayupo (pichani) wakati alipokuwa akiwapa ushauri juu ya kuweza kujiamini katika semina inayoendelea Hotel ya Giraffe.
Mshauri wa Kamati ya Miss Tanzania DK.Raamesh Shah (kulia) akitoa mafunzo kwa warembo wanaoshiriki shindano la Miss Tanzania katika semina inayoendelea katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi Dar es Salaam. jumla ya warembo 31 wapo katika kambi hiyo (wapilI) ni Mwenyeikiti wa kamati ya Miss Tanzania PrashantPateri, Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza picha na blog ya mtaa kwa mtaa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...