Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 15, 2010

ALIYEKUWA MBUNGE WA CHADEMA TARIME ATUA CUF KUENDELEZA MAPAMBANO DHIDI YA UFUSADI

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Zanzibar na Mgombea mwenza wa nafasi ya Urais, Bw. Juma Duni Haji (kulia) akimkabidhi kadi ya uwanachama kwa aliyekuwa Mbunge wa Tarime kwa Tiketi ya CHADEMA Bw. Charles Mwera Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...