Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, August 19, 2010

PILIKAPILIKA ZA KURUDISHA FOMU MANSPAA YA KINONDONI LEOMgombea nafasi ya Ubunge wa jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA Bw. Jonh Mnyika akirudisha fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam kupitia Chama cha National Reconstuction Alliance Allance (NRA).kwa Msimamizi Msaidizi wa jimbo hilo Bi Sion NnkMgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe Bi.Halima Jams Mdee akirudisha fomu yake ya kugombania ubunge wa jimbo hilo kwa Msimamizi msaidizi wa Uchaguzi Bw. Onesmo Kweyamba

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe Bi.Angela Kizigha akirudisha fomu kwa Msaidizi wa uchaguzi Jimbo la Kawe Bw. Onesmo KweyambaMwandishi wa Habari wa gazeti la Dar Leo linalochapishwa na Kampuni ya Business Times Limited (BTL),Ni. Rachel Balama, akirudisha fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam kupitia Chama cha National Reconstuction Alliance Allance (NRA).kwa Msimamizi Msaidizi wa jimbo hilo Bi Sion Nnko

Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia chama cha Wananchi CUF Bw. Julius Miatiro akirudisha fomu kwa Msimamizi Msaidizi Bi. Sion Nnko Dar es salaam leo kwa ajili ya kugombea

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe Bw. James Mbatia akipunga mkono wafuasi wake waliokuwa wakimsindikiza kurudisha fomu Dar es salaam leo kwa ajili ya kugombea

Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia chama cha CCM, Idd Azani (kulia) akirudisha fomu kwa Msimamizi Msaidizi Bw. Burton Mahenge Dar es salaam leo kwa ajili ya kugombea

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...