Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 30, 2010

VODA COM YAFUTULISHA TANGAWakazi wa mji wa Pangani wakipata futari mwishoni wa wiki ambapo Vodacom Foundation iliwafuturisha na kugawa vyakula na vifaa vya shuleni wa watoto y madrasa mbalimbali mjini humo ambavyo ni Mchele, maharage, mafuta ya kula, sukari na vifaa vya shuleni kwa ajili ya wanafunzi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...