Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 16, 2010

VODA COM YAFUTULISHA WATOTO YATIMA


Watoto wakisuburi kufuturu vituo mbalimbali vya kulelea watoto yatima villialikwa na kuleta watoto kwa ajili ya kupata futari na wenzao kutoka maeneo mbalimbali Dar es salaam.

Wafanyakazi mbalimbali wa vodacom wakiwa katika picha ya pamoja na watoto hao.
Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh I ssa Shaabani Simba kushoto akipokea ndoo ya mafuta ya kula kutoka kwa Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare kwa niaba ya watoto hao kama moja ya zawadi ambazo kampuni hiyo imetoa kwa vituo hivyo ili mkusaidia kwa ajili ya futari kulia nia Mkurugenzi Vodacom Foundation Mwamvita Makamba na katikati ni mmoja wa wasaidizi wa Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaaban Simba.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...