Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 29, 2010

mama salma kikwete ziarani mkoani dodomaMwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa UWT mkoa Dodoma Fatma Tawfiq alipowasili katika uwanja wa ndege Mkoa wa Dodoma jana.katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mh. James Msekela.(Picha na Mwanakombo Jumaa-Globu ya Jamii)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...