Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 7, 2010

KAMPUNI YA TIGO YAZINDUA OFISI BUGURUNI DAR ES SALAAM


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi (kushoto) akikata utepe na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Pablo Vasquez, wakati wa hafla ya uzindua wa Jengo la Tawi jipya la kampuni hiyo lililopo Buguruni Rozana.
Lukuvi, akielekezwa jinsi ya kutumia kifaa anachoweza kutumia mteja kuacha maoni yake mara tu baada ya kuhudumiwa na mtoa huduma ndani ya Ofisi hizo
Wasanii wa Kikundi cha Super Dancers cha Temeke Jijini Dar es Salaam, wakitoa burudani wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...