Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, August 18, 2010

WASHIRIKI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA LEO


Baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku tatu wa kujadiri soko la pamoja ya jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika mkutano Dar es salaam jana kushoto ni mwakilishi kutoa ugana,Bw. Isiagi Patricu ,Bi.Namala Kenganzi na mwakilishi Uganda Bw. Max Ochai.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...