Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 28, 2010

TIMU YA TAIFA YA NGUMI YATIA AIBU MABINGWA WA MABINGWA


Bondia John Collin wa Mauritius (kushoto), akimshindilia konde Joseph Njogu wa Kenya, katika fainali za ndondi za Afrika Mashariki za Mabingwa wa Mabingwa katika ukumbi wa DDC Mlimani, Dar es Salaam juzi. Njogu alishinda kwa pointi 6-1. (PICHA NA DOTTO MWAIBALE)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...