Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, August 29, 2010

WANA CCM SUMBAWANGA WAMKUBALI KIKWETEMgombea Urais kwa tiketi ya chama cha CCM,Mh Jakaya Kikwete akishuka kwenye Helkopta mara baada ya kuwasili Sumbawanga mjini tayari kwa mkutano uliofanyika jana kwenye uwanja wa Mandele mjini humo.
Mgombea wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM,Mh Jakaya Kikwete amefanya mkutano wa kampeni jana na kuhutubia katika uwanja wa Mandele mjini Sumbawanga,amb wakazi wa Sumbawanga walijitokeza kwa wingi kutoka vitongoji mbalimbali vya mji huo. Pichani Mh Jakaya Kikwete akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha CCM Bw. Hayeshi ambaye kama atashinda kuomngoza jimbo hilo atakuwa anachukua nafasi ya aliyekuwa mbunge wa Sumbawanga mjini Mzee Paul Kimiti aliyeng'atuka madarakani mara baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...