Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, August 27, 2010

ZAIN KUPIGA SIMU SMS USIKU BURE


MkurugenziMtendaji wa Zain Tanzania Sam Elangallor akiongea wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya ofa maaluma kwa ajili ya mwezi wa Ramadhani ambapo wateja wa Zain sasa watapiga simu bure baada ya dakika ya kwanza ya maongezi kuanzia saa sita usiku mpaka saa 12 asubuhi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...