Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, August 7, 2010

WASANII WATAKAO TUMBUIZA KATIKA FIESTA WATEMBELEA HOSPITAL YA MWANANYAMALA DAR ES SALAAM


Cecy, Keisha, Khadija na Zaituni hapa tukiwa nje ya kituo cha Police Oysterbay
Meneja Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa Serengeti Breweriers Ltd Teddy Mapunda akizungumza na wasanii mbalimbalii wakati wa kufanya usafi katika hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya kutekeleza kampeni ya usafi katika Manispaa hiyo.
Meneja mkuu wa uhusiano na mawasiliano ya jamii kampuni ya bia ya Serengeti ,Teddy Mapunda akipeana mkono wa shukurani na Mkuu wa mkoa wa kipolisi Kinondoni ,Bw.Elias Kalinga,kulia ni mmoja wa wakurugenzi wakuu wa Clouds Entertainment na mratibu mkuu wa tamasha la Fiesta Jipanguse 2010,Ruge Mutahaba.
Mkurugenzi wa Prime Time Promotion Ruge kushoto, akifuatiwa na Auint Sadaka kutoka mradi wa Zinduka, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk. Zuhura Mjapa na Teddy wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza zoezi la kupaka rangi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...