Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, November 23, 2010

ALI KIBA USO KWA USO NA JK

Mwanamziki Ali Kiba akilia kwa machozi ya furaha alipokutana na Rais Jakaya Kikwete kushoto ni Mkurgenzi mtendaji wa Airtel nchini Sam Elangalloor


New Post

1 comment:

  1. Yapendeza sana kuwaona wasanii wakitiwa ari na Viongozi wa Nchi zao kinyume na ilivyo humu Kenya. Bonyeza hapa kwa uhondo pia.

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...