Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, November 14, 2010

WATEJA WA ZANTEL WAANZA KUNUFAIKA NA HUDUMA YA HIGHLIFE
Wateja wa Kampuni ya Zantel wanaotumia huduma za HIGHLIFE Bw. Mrisho Rambo (kushoto) na Bw. Zulfiqar Ali wakiwa na furaha baada ya kukabidhiwa simu zao

Meneja huduma kwa wateja wa Zantel Bi. Sarah Mwigune akimkabidhi mteja wa HIGHLIFE Bw. Mrisho Rambo kutoka Ubalozi wa Oman simu ya Blackberry Dar es salaam baada ya kujikusanyia pointi za kutosha kupata zawadi hiyo. Anayeshuhudia katikati ni Mtendaji wa huduma wateja wa kampuni hiyo Bi. Adrienne Bonzon

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...