Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 18, 2010

WIZARA YA UTAMADUNI NA MICHEZO YAUNGANA NA WIZARA YA ELIMU KUENDEREZA MICHEZO MASHULENI

WADAU WA ELIMU WAKISIKILIZA MADA MBALIMBALI

MDAU AKIJITAMBULISHA
AKIJITAMBULISHA


Mkuu wa taasisi ya kuendeleza michezo nchini ya LIIKERY, Ari Koivu (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu uboreshaji wa michezo kwenye vyuo vya ualimu. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo sehemu ya usajili wa vyama vya michezo, Rachel Khowoya na mkurugenzi wa Elimu ya Ualimu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,R ose Masenga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...