Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, November 3, 2010

RAS NAS NA SHOO YA KUMUENZI GREGORY ISAACS


Ras Nas na skwadi yake watafanya shoo ya kumuenzi hayati Gregory Isaacs kwenye ukumbi wa Skuret jijini Oslo Jumamosi tarehe 06 Novemba. Kwa hivyo basi kaa tayari kuserebuka na muziki mseto wa reggae na bolingo kuanzia saa nne na nusu usiku. Safu ya Ras Nas inajumuisha Chuck Frazier (Texas), Uriel Seri (Ivory Coast), Larry Skogheim (Norway), Dag Pierre (Sweden) na Dj atakuwa Dj Geblik. Habari ndio hiyo!

Ukumbi: Skuret Konsertscene. Oslo, Norway
Anwani: Christian Krohgsgt. 2
Tarehe: Jumamosi 06 Novemba
Wakati: 22.30 Hrs

Asanteni,
Kongoi Productions
www.kongoi.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...