Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 18, 2010

hospital ya African Medical Investments KUPIMA UGONJWA WA KISUKARI BULE

Mwandishi wa habari wa kituo cha Radio 100.5 Times FM Bi. Aisha Mbegu (kushoto) akipimwa ugojwa wa kisukari na wauguzi wa hospital ya African Medical Investments Dar es salaam LEO kulia ni Mariam Karata na Rachel Garcia
Mwandishi wa habari wa kituo cha Radio CLOUS FM (kushoto) akipimwa ugojwa wa kisukari na wauguzi wa hospital ya African Medical Investments Dar es salaam jana kulia ni Mariam Karata na Rachel Garcia

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA HOSPITAL HIYO
Dkt. Sabrina Kazia (kulia) wa hospital ya African Medical Investments akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam LEO, kuhamasisha jamii kuhusu kisukari na kutoa huduma za upimaji wa kisukari bure kushoto ni meneja wa hospital hiyo Dkt. Rajiv Rao.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...