Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 8, 2010

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AANZA KAZI RASMI


Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu baada ya kuwasili kwenye Ofisi yake Ikulu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuanza kazi rasmi. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ruth Mollel. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akielekezwa jambo na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ruth Mollel, wakati alipokuwa akimuonyesha jengo jipya la Ofisi ya Makamu wa Rais linaloendelea kujengwa wakati Makamu wa rais alipofika kuripoti ofisini leo Nov 8. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi Makamu wa Rais (Mazingira), wakati alipofika ofisini hapo kusaini kwa mara ya kwanza na kuanza kazi rasmi leo Nov 08. Kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ruth Mollel.( Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...