Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, November 7, 2010

TANGAZO LA MASOMO

CHUO CHA AL_NNAJAH CHA SHERIA ZA KIISLAM,NZASA 'B' CHARAMBE KARIBU NA SHULE YA MSINGI KILAMBAKINAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMNO YAFUATAYO

1.CHEKECHEA(NURSERY) YA MAADILI YA KIISLAMU
2.KUSOMA NA KUHIFADHI QUR_AN TUKUFU KWA LIKA ZOTE JINSIA ZOTE MUDA WOTE
3UALIMU,UIMAMU NA UHUBIRI (TABLIIGH DAAWAH) STASHAHADA (THANAWY)
4.ELIMU YA SHERIA ZA KIISLAM (UTOAJI FAT_WA)
5NASAHA KWA WANANDOA (WANAFAMILIA)
6NASAHA NA MAOMBI KWA WAATHIRIKA WA UKIMWI NA WENYE VVU

NB.TUNA MAKTABA KUBWA YENYE VITABU,CD,DVD NA KANDA ZA KAWAIDA NK, VYENYE MAFUNDISHO YA DINI YA KIISLAM.
NDUUGU YETU ELIMU YA DINI NI MUHIMU HAPA DUNIANI NA AKHERA FANYA HIMA UJE.CHUO KINA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 20 KUTWA NA BWENI ELIMU HUTOLEWA BULEE

KWA MAELEZO ZAID WASILIANA NA MKUU WA CHUO
SHEIKH FAHMY BASHIRI KWA NAMBA ZA SIMU
+255787725708,+255715725708
KARIBUNI SANA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...