Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 4, 2010

BREAKING NEWSSSSS TWIGA YALALA 3.2 KWA MALI


Timu ya Tanzania Wanawame Twiga Stars hivi sasa ilikuwa uwanjani ikicheza na wanawake wenzao timu ya taifa ya Mali ambapo mpaka sasa hivi mchezo umekwisha TWIGA STAR KULALA KWA magoli 3-2.
Mchezo huo umefanyika nchini Afrika kusini katika mashindano ya kombe la mataifa huru ya Afrika kwa wanawake, katika mchezo wa kwanza Twiga Stars ilifungwa magoli 2-1 na timu ya wanawake ya Afrika Kusini BanyanaBanyana.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...