Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 4, 2010

WABUNGE WA CCM WACHUANA KATIKA USPIKA


Mbunge mteule wa Jimbo la Bariadi Magharibi mkoani Shinyanga Bw. Andrew Chenge (kushoto) akichukuwa fomu ya kugombea kiti cha Uspika wa bunge la Jamhuri ya Muhungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Bw.Yusuphu Makamba Dar es salaam

Mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa Dodoma Bw.Ndungai Job (kushoto) akichukuwa fomu ya kugombea kiti cha Uspika wa bunge la Jamhuri ya Muhungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Bw.Yusuphu Makamba Dar es salaam

Mbunge wa Jumuhiya ya Afrika Mashariki Bi. Kate Kamba (kushoto) akichukuwa fomu ya kugombea kiti cha Uspika wa bunge la Jamhuri ya Muhungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Bw.Yusuphu Makamba Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...