Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 25, 2010

CHEKA, MAUGO KUMALIZA UBISHI JANUAR MOSIMwandaaji wa pambano la ngumi za kulipwa kati ya Francis Cheka na Mada Maugo, Kaike Siraju akizungumza na waandishi wa Habari Dar es Salaam jana, kuhusu la ngumi litakalofanyika Januari mosi 2011 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Kushoto ni Rais wa Shirikisho la ngumi za kulipwa Tanzania (TPBO), Yassini Abdalah

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...