Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 8, 2010

TANGAZO


Habari!
Pole na kazi na shukrani kwa kuhabarisha umma ya watanzania.Sisi ni wadau wa maendeleo ya tasnia ya filamu Tanzania kwa kipindi hiki tumekuja na tovuti ambayo imesheheni habari, maelezo,makala ,reviews,picha,udaku,trailers na taarifa muhimu zinazohusiana na tasnia Ya Filamu za kiswahili.tutashukuru ukishare taarifa hii na wadau.

kutembelea tovuti ya FILAMUCENTRAL bofya www.filamucentral.co.tz

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...