Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 1, 2010

WENGI WAJITOKEZA KUPIGA KURA


Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa
Rais Jakaya mrisho Kikwete akiteta na Bibi kikongwe Khadija Mwanaomari muda mfupi baada ya kupiga kura katika shule ya Msingi Msoga huko kijijini Msoga
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga kura katika kituo cha shule ya msingi Msoga

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura yake katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Msoga, kata ya Msoga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...