Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, November 27, 2010

MDAU WA MICHEZO AMKABIDHI VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI KOCHA RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KWA AJILI YA KUENDELEZA MCHEZO HUO KWA VIJANA WASIO NA VILABU

Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D (kulia) akikabidhiwa vifaa vya mchezo huo na Mkurugenzi wa Kampuni ya IRO&STEEL LTD Zulfiqar Ally wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo kwa ajili ya vijana wasio na vilabu nchini. wanaoshuhudia kushoto ni Bakari Gobe,Ally Raza na Kashif Ally kutoka

Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D (kulia) akijaribu kuzichapa na Mfadhili aliyemfadhili vifaa vya mchezo huo Zulfiqar Ally wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo kwa ajili ya vijana wasio na vilabu nchini. wanaoshuhudia kushoto ni Bakari Gobe,Ally Raza na Kashif Ally kutoka Kampuni ya IRO&STEEL LTD ambayo Mkurugenzi wake ni Zulfiqar


Super D,Bakari Gobe,Zulfiqar Ally,Ally Raza na Kashif Ally wakiwa katika picha ya pamoja baada ya makabidhianoNo comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...