Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, November 19, 2010

KIWANDA CHA NONDO CHAPONGEZA HOTUBA YA RAIS KIKWETE

Mkuu wa Kiwanda cha Nondo cha Altaf Zulfiqar Bw. Zulfiqar Ali KUSHOTO AKIWA KIWANDANI
WAFANYAKAZI WAKIWAJIBIKA


Mkuu wa Kiwanda cha Nondo cha Altaf Zulfiqar Bw. Zulfiqar Ali (kulia) akipongezwa na wafanyakazi wake baada ya kumalizika kwa hotuba ya rais Jakaya Kikwete kwa mara ya kwanza Bungeni na kuipongeza wafanyakazi hawo walikuwa wanaangalia kupitia luninga wakati wa kazi Dar es salaam

Mkuu wa Kiwanda cha Nondo cha Altaf Zulfiqar Bw. Zulfiqar Ali (katikati) na wafanyakazi wake baada ya kumalizika kwa hotuba ya rais Jakaya Kikwete kwa mara ya kwanza Bungeni na kuipongeza wafanyakazi hawo walikuwa wanaangalia kupitia luninga wakati wa kazi Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...