Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 8, 2010

KAMPUNI YA ZAIN YATOA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YOMBO DOVYA


Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Yombo Dovya, iliyopo katika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka Farida Mohammed, Afisa wa Zain, juu ya huduma mbali mbali zitolewazo na kampuni hiyo ya simu wakati wa ziara yao ya mafunzo hapo jana. Ziara za mafuzo kwa kutembelea kampuni mbali mbali huwasaidia wanafunzi kupanua elewa wao wa shughuli zinazofanywa na makampuni mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...