Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, November 19, 2010

DAR MORDEN YAPAGAWISHA IDD EL HAJI

Mwimbaji wa nyimbo za Taarabu wa Bendi ya Dar Modern, HASHIMU akiwaburudisha wapenzi na mashabiki wa muziki huo kwa wimbo wa Pembe la Ng’ombe, wakati wa onyesho la Sikukuu ya Eid el Haj, kwenye ukumbi wa Kabakabana, Mwananyamala Dar es Salaam

Aisha Othman akiimba wakati wa sherehe hizo Tatuma Mussa akiimba

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...