Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 1, 2010

WAPIGA KURA WASUBIRI MATOKEO YA JIMBO LA UBUNGO KWA SIKU MBILI

Badhi ya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wakiwa nje ya shule ya sekondali Loyola Dar es salaam leo ambapo matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Ubungo yanahesabiwa


Baadhi ya wasimamizi wa uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2010 jimbo la ubungo wakishusha masanduku ya kura kuingiza ndani kwa ajili ya kuhesabiwa eneo la shule ya sekondari Loyola Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...