Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 8, 2010

TAASISI YA SAFE POINT TRUST YA ZINDUA KAMPENI YA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA SINDANO.

Balozi wa kupunguza gharama za matibabu nchini kutoka taasisi ya Safe Point Trust, Emanuel Mgaya (Dk. Mgosi Masanja) akiwaonyesha waandishi wa habari matumizi sahihi ya sindano mahospitalini ya mara tu itumikapo inapaswa kuvunjwa na kutupwa ili kuzuia maambukizi ya magonjwa kwa wengine Dar es Salaam jana.Kusoto ni mabalozi wa taasisi hiyo, Catherine English na Anna Koska

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...