Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, November 2, 2010

SUGU ATINGA MJENGONI KWA KISHINDO


Kwa taarifa ya matokeo yanayoendeleakutolewa kwamba kwa mujibu wa msimamizi wa kituo cha Chuo cha Uhasibu ,Bw. Samweli Lazaro jimbo la Mbeya mjini ni kwamba Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva Bw.Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II a.k.a Sugu kupitia chama cha CHADEMA ameibuka kidedea kwa kulinyakua jimbo hilo la Mbeya mjini kwa kuibuka na kura 46,411 na kumbwaga mpizani wake vibaya wa chama cha CCM Bw.Benson Mpesya kwa kupata idadi ya kura 24,327.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...