Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, November 9, 2010

HAMIS MA SMS WA ZANTEL HAPANDA DALADALA NA KUWALIPIA NAURI GARI NZIMA

Mwezeshaji wa Promosheni ya 'Hamisi Ma SMS' inayoratibiwa na Kampuni ya simu ya Zantel. Bw. Nixon Haule (kulia) akimkabidhi kondakta wa daladala pesa Bw.Hamisi Ally kwa ajiri ya nauli ya watu wote walioingia katika gari hilo maeneo ya Posta Dar es salaam jana wakielekea Mbagala

Mwezeshaji wa Promosheni ya 'Hamisi Ma SMS' inayoratibiwa na Kampuni ya simu ya Zantel. Bw. Nixon Haule akiwaanga abilia baada ya kuwalipia nauli eneo la posta Dar es salaam


1 comment:

  1. same idea used in kenya last four consecutive years..nw here we dnt have any ideas?

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...