Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 10, 2011

BONDIA WA ZAMANI MPINZANIA WA MUHAMMAD ALI JOE FRASIER AFARIKI DUNIA


Bondia wa zamani mkali wa masumbwi, Joe Frasier, aliyekuwa mpinzani mkubwa wa Bondia machachari, Muhammad Ali, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo kwa kile kilichoelezwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na na ugonjwa wa Saratani ya Ini.

Joe amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 67.

Pichani juu Hayati Joe (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mpinzani wake Muhammad Ali, enzi za uhai wake pamoja na Promota wao Don King, kabla ya pambano lao lililofanyika Mwaka 1971, ambapo katika pambano hilo Joe alimtwanga Muhammad Ali, ambapo Muhammad Ali pia alikuja 'kurivange' baada ya miaka minne baadaye.

Mungi aiweke roho ya marehemu Joe mahala pema peponi Ameeeeen.
Marehemu Joe Frasier, akipozi enzi za uhai wake.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...