Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, November 15, 2011

FILAMU ZA BONGO AMBAZO ZIPO SOKONI PATA NAKALA YAKO


Trinita hakuna kinachoshindikana chini ya jua, lakini vyote vinaitaji mipango madhubuti ili kufikia malengo... mambo yakiwa mabaya upande wako basi ujue ndio muda wa kujipanga na kufikiria kilichotokea ili usirudie makosa kwa kile unachotarajia kufanya ungana na wasanii Lucy Komba, Angel Dominic na Hemed Kavu katika filamu hiyo uone nini kilichotokea
mchanga na keni kisa hiki cha mchanga na keni tunaona jinsi gani matumidhi ya ardhi yanavyotumiwa vibaya kiasi keni anajikuta anathiri vitu vilivyomo kwenye mchanga na kuzua maafa makubwa katika kitongoji cha tabata barakuda mto msimbazi. fuatilia hadidhi hii upate utamu zaidiii ungana nao Juma Kilowoko, Wastara juma, Salim Ahmed na wengine wengi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...