Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, November 11, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AONGOZA MAJADILIANO YA MKUTANO WA UWEKEZAJI WA CHAKULA NA KILIMO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe, baada ya kuwasili kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza kwa ajili ya kuongoza majadiliano ya mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa Mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011 kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Prof. Jumanne Maghembe, wakati walipokuwa akiongoza Mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011 kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Mohamed Muya, akizungumza wakati wa mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na Kilimo, ulioanza leo Novemba 10, 2011 kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makau wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa Uwekezaji wa Chakula na kilimo, baada ya kuongoza mkutano huo leo Novemba 10, katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...