Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, November 22, 2011

COSTECH WADHAMINI KONGAMANO LA WATALAAMU

COSTECH WADHAMINI KONGAMANO LA WATALAAMU

Phares Magesa anafahamisha kuwa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolijia (COSTECH) imekubali kuwa ni mmoja wa wafadhili wa Kongamanpo la Wataalamu TPN

Amemshukuru sana Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dr. Hassan Mshinda pamoja na uongozi mzima wa tume kwa kuona na kuthamini mchango wa wanataaluma katika kuchangia maendeleo ya Taifa letu.

Magesa ametoa wito kwa Taasisi nyingine za umma na za binafsi pamoja na watu binafsi kujitokeza kuchangia gharama za kufanikisha kongamano hili.

Amesema matarajio yao ni kuwa kongamano kama hili litakuwa likifanyika kila mwaka na lengo ni kupata mchango wa mawazo kuhusu mustakabali wetu na wa Taifa letu kutoka kwa wadau mbali mbali na kwa kushirikiana na taasisi zilizopo na kutokana na mapendekezo ya wana kongamano basi tutahakikisha yale yaliyokubaliwa yanatekelezwa kwa faida yetu kama Taifa na vizazi vijavyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...