Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, November 26, 2011

MKURUGENZI WA VODACOM TANZANIA AONGEA NA JUKWAA LA WAHARIRI


Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akiongea na wajumbe wa Jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari wakati mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha ,kushoto Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Absalom Kibanda,na katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba

Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Absalom Kibanda akimtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza kushoto, kwa wahariri wakuu wa vyombo vya habari nchini Tanzania,wakati mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa Jukwaa la wahariri jijini Dares Salaam jana,katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano Mwamvita Makamba.

Baadhi yawajumbe wa jukwaa la wahariri wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza hayupo pichani alipokuwa akiongea nao wakati wa kujitambulisha kwa jukwaa hilo.
Mkuu wa kitengo cha Mahusiano wa Vodacom Tanzania Nector Pendael,akiwaelekeza baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari namna ya kutumia Webbox inayounganishwa kwenye Luninga na kutoa huduma ya mtandao wakati mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa jukwaa la wahariri jijini Dares Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza kulia akiwaangalia Ofisa Mkuu wa Masoko na Uhusiano Tanzania Mwamvita Makamba katikati akisalimiana na mjumbe wa jukwaa la wahariri Masoud Sanani wakati mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa jukwaa la wahariri jijini Dares Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza kulia akisalimiana na mjumbe wa jukwaa la wahariri Masoud Sanani wakati mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa jukwaa la wahariri jijini Dares Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...