Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, November 14, 2011

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA DODOMA MAYAMAYA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa barabara ya Dodoma - Mayamaya kwenye eneo la Miyuji Novemba 12, 2011. Wanne kushoto ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu na Mbunge wa Kigoma Mjini Peter Serukamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe wakati akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa barabara ya Dodoma - Mayamaya kwenye eneo la Miyuji Novemba 12, 2011. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, John Magufuli . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...