Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, November 10, 2011

MAONESHO YA MIAKA 50 YA MIFUKO YA HIFADHI YANAENDELEAMkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Promosheni wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii, Bi, Sarah Kibonde na Muhasibu wake Bw. Edwin Junus wakitoa maelezo mbalimbali wakati maadhimisho ya wiki ya hifadhi ya jamii yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...