Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, November 13, 2011

TABORA YAKUMBWA NA UHABA WA MAFUTA SIKU YA NNETatizo la uhaba wa mafuta laukumba mkoa wa Tabora, kwa siku nne hadi leo ambapo madereva wa magari na pikipiki wamekuwa wakihaha kusaka mafuta kila kona ya mji wa Tabora.

Pichani ni baadhi ya madereva wa magari na pikipiki wakia katika foleni ya kusubiri huduma ya mafuta katika moja ya kituo cha mjini humo. Picha naLatestnewstz.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...