Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, November 26, 2011

TDL ,Kupitia kinywaji cha KONYAGI yawafadhiri sikinde!!


Mwimbaji nguli wa Bendi ya Sikinde Hassan Bichuka akiimba jukwaani wimbo maalum wakuipongeza kampuni ya TDL na kukitangaza kinywaji cha Konyahgi kuwa ni Bora. Bendi hiyo kwa sasa imepata Ufadhili wwa Vyombo na Yunifom pamoja na Malupulupu kibao kila wapigapo shoo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...