Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 28, 2013

BONANZA LA JOGGING CLUBS MZIMUNI LAFANA LAKUSANYA MAJOGGER KIBAOOOO!

Bila kusahau ndonga, nazo zilikuwepo mapema asubuhi ya leo. Hii ni kwasababu Klabu ya Mzimuni ni Jogging and Sports.

Vikosi vya Jogging vya maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam na Zanzibar vikiwa mitaani kwaajili ya bonanza maalum lililoandaliwa na Jogging Club ya Mzimuni Magomeni jijini Dar es Salaam. Bonanza hilo ambalo linaendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mzimuni limekusanya karibu Jogging Club 30.
Mazoezi ni afya.
Dawa ya kuachana na ubonge nyanya!
Rika zote wamejumuika pamoja.
Michezo mbalimbali ukiwemo huu wakuchezea baiskeli pia upo!
Wacha banaweee manjonjo tupu! iga uone!
Mashost nao! Ubonge baaaaaaasssss!
Bila kusahau ndonga, nazo zilikuwepo mapema asubuhi ya leo. Hii ni kwasababu Klabu ya Mzimuni ni Jogging and Sports.
Kikosi cha Zanzibar ambacho kilipambana na Mzimuni na kuifunga goli moja bila.
Picha ya pamoja vikosi vyote viwili Mzimuni na Zanzibar.
Kikosi kamili cha Mzimuni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...