Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 21, 2013

DIAMOND,LINAH NA TMK FAMILY WAFANIKISHA MKUTANO WA CCM MOROGORO


 Kundi la TMK Wanaume Family likishambulia jukwaa wakati wa mkutano wa CCM uliofanyika leo kwenye Kiwanja cha Ndege mjini Morogoro
Msanii Temba wa TMK Family akifanya mambo
 Msanii wa kizazi kipya Lina Sanga akitumbuiza katika mkutano wa hadhara wa CCM kwenye viwanja vya Sbaaba, mjini Morogoro.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Msanii wa kizazi kipya Naseeb Abdul 'Diamond' akiwa amebebwa alipokuwa akitumbuiza katika mkutano wa hadhara wa CCM kwenye viwanja vya Kiwanja cha Ndege, mjini Morogoro
 Msanii wa kizazi kipya Naseeb Abdul 'Diamond'akitumbuiza katika mkutano wa hadhara wa CCM , mjini Morogoro

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...