Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 25, 2013

Katibu Mkuu Dr Wilbrod Slaa,Mbunge wa Ubungo John Mnyika,Mbunge wa Mbeya joseph Mbilinyi aka Sugu, Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Ilemela Ezekiel Wenje Waung'uruma


 Mbunge wa iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa(juu ya gari kulia)na mbunge wa ilemela Ezekiel Wenje wakiwasili iringa kwa ajili ya mkutano mkubwa wa hadhara jana
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa(juu ya gari Kulia na Mbunge wa Chadema Ubungo John Mnyika wakiwa kwenye msafara wa kuelekea kwenye mkutano mkubwa wa hadhara iringa mjini Jana
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa. 
 Mbunge wa Mbeya mjini- Joseph mbilinyi aka Sugu akiunguruma kwenye mkutano mkubwa  wa hadhara wa chadema kwenye viwanja vya  Uwanja wa Mwembetogwa iringa jana
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Akiunguruma mbele ya mamia ya wafuasi wa chadema kwenye mkutano mkubwa wa hadhara kwenye viwanja vya Uwanja wa Mwembetogwa iringa jana
 Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Kushoto akipitia katiba kwenye mkutano mkubwa wa hadhara uliyofanyika iringa jana kulia kwake ni mbunge wa jimbo la ubungo Mh John Mnyika
 Sehemu ya mamia ya wafuasi wa chadema wakisiliza hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi mbalimbali wa chama hicho viwanja vya Uwanja wa Mwembetogwa iringa jana. Picha Zote na Chadema na Said Ng’amilo
--
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amemlipua kigogo mmoja wa juu wa CCM (jina tunalihifadhi kwa kuwa hakupatikana kujibu tuhuma hizo), kuwa ndiye kinara wa biashara haramu ya pembe za ndovu na utoroshaji wa wanyama nchi za nje.

Akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa jana, Mchungaji Msigwa alisema anashangaa Serikali ya CCM kushindwa kumchukulia hatua.
 
Mchungaji Msigwa alidai kuwa tembo wapatao 75 wamekuwa wanauawa kila siku kutokana na tatizo hilo kufumbiwa macho na Serikali.Kwa Habari zaidi Bofya na Endelea.......

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...