Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, April 26, 2013

TASWIRA MBALIMBALI ZA SHEREHE ZA MIAKA 49 ya MUUNGANO UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam leo kuongoza Watanzania kusherehekea miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Pamoja naye kwenye gari hilo la wazi ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange
 Nyomi si ya kawaida hata pa kutema mate hakuna
 Msafara wa Rais Kikwete ukizunguka uwanja wa Uhuru
Nyomi ya leo. Taswira zingine na kumwaga baadaye.

Ndege za kivita zikifanya maonesho katik sherehe za Miaka 49 ya Muungano jijini Dar es salaam leo.
Zenye rangi ya njano zinazomwaga rangi za bendera za Taifa ni ndege za mafunzo na zingine za kijivu
ni za kivita.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...