Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 28, 2013

EXEL WITH GRAND MALT YAZINDULIWA JIJINI MWANZA


 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza wakichuana vikali katika Mtanange wa Mpira wa Miguu kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha taslimu.Kampeni hiyo inajulikana kama Exel with Grand Malt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo Kikuu Mt. Augustine jijini Mwanza.
 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine jijini Mwanza wakichuana vikali katika Mpira wa Wavu (Vollyball) kwenye Uzinduzi wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na fedha taslimu.Kampeni hiyo inajulikana kama Exel with Grand Malt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya Raila Odinga ndani ya Chuo Kikuu Mt. Augustine jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...