Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 25, 2013

MWINGINE AKAMATWA KWA UCHAFUZI WA MAZINGIRA IRINGA MJINI ALIKUWA AKIBANDIKA MATANGAZO CHEKA NAO


Kijana  Masha  Yusuph mkazi wa  Iringa akiwa  ofisi ya mwanasheria  wa Halmashauri ya  manispaa ya  Iringa Bw Inocent Kihaga  (kulia) baada ya  kukamatwa  na mgambo  wa Manispaa hiyo akichafua ukuta  wa bustani ya Manispaa kwa kubandika matangazo ya  Voda  Com  bila  kibali
Mgambo  wa Manispaa ya  Iringa  wakiwa  wamemweka  chini ya ulinzi kijana Masha  Yusuph  kwa  kuchafua mji
Hapa   wakimtaka  kijana  huyo kuokota takataka  alivyokuwa akizitupa ovyo baada ya  kubandika matangazo ya Voda
Hapa  akipelekwa  ofisi  za Mwanasheria  kupigwa faini ya  shilingi 50,000 kwa  uchafuzi  wa mazingira


Hapa  akiingizwa katika  ofisi  za Mwanasheria

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...