Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, April 26, 2013

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YADHAMINI USIKU WA MAAFISA MASOKO JANA NDANI YA HOTEL YA GOLDEN TULIP


1Mtoa Mada mkuu katika usiku wa Maafisa Masoko ulioandaliwa na ka mpuni ya bia ya Serengeti Breweriers Dk. Wale Akinyemi akuzungumza na maafisa masoko waliohudhuria katika usiku huo unaofanyika kwenye hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam, Maafisa Masoko kutoka makampuni mbalimbali wamehudhuria katika usiku huo na kupata uzoefu katika  mada mbalimbali zilizowasilishwa na mtaalam huyo katika usiku huu. 2Steve Gannon Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya bia ya Serengeti akizungumza na wageni mbalimbali waliohudhuria katika usiku huo. 3Kulia ni Steve Gannon Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya bia ya Serengeti na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni hiyo Ephraim Mafuru wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Dk. Wale Anyikemi. 4Waimbaji wa bendi ya The B. Band wakitumbuiza katika usiku wa Maafis Masoko unaofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Golden Tulip. 6Mkurugenzi wa Muimbaji wa bendi hiyo Banana Zoro akifranya vitu vyake jukwaani wakati wa usiku wa Maafisa masoko unaofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Golden Tulip. 7Wakuu wa Vitengo vya masoko kutoka makampuni mbalimbali wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Dk. Wale Anyikemi. 8Maafisa masoko mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo. 9Mtangazaji wa Kipindi cha SuperMix kutoka Radio ya EATV anayejulikana kama Zembwela akinadi kipindi chake katika hafla hiyo. 11Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Ephraim Mafuru akizungumza katika usiku huo. 12Nandi Mwiyombela kulia na Azda kushoto Kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti wakiwa pamoja na wadau wengine katika hafla hiyo.  13Wa pili kutoka Kushoto ni Inita Msangi Meneja wa wa bia ya Tusker Lite akiwa pamoja na wadaui wengine katika hafla hiyo.
2kDk. Wale Akenyi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti  Steve Gannon wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa masoko mara baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...